Simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Dar es Salaam. W akati Mbeya City ikivaana na Mbao katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo, safu zao za ushambuliaji zimebeba matokeo ya mechi hiyo.

Mbao iko nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 22 wakati Mbeya City wanashika nafasi ya 18 kwa pointi Mbeya City leo inamtegemea mshambuliaji Peter Mapunda mwenye mabao manane na Mbao inajivunia Waziri Junior aliyefunga saba. Mapunda anayeshika nafasi ya tano katika chati ya wafungaji bora ndiye mchezaji tegemo katika kikosi cha Mbeya City. Mbeya City imekuwa na mwenendo sio mzuri kwenye ligi hiyo kwani katika michezo mitano ya hivi karibuni imeshinda mitatu na kupoteza miwili.

Ilishinda dhidi ya Lipuli mabaoiliichapa Mtibwa Sugar bao kabla ya kuifunga Kagera Sugarilipoteza dhidi ya Biashara United na Mwadui kwa kipigo cha bao katika kila mchezo. Kocha wa Mbeya City, Amri Said alisema amejiandaa vizuri kushinda mchezo huo na amewaandaa wachezaji kupata matokeo. Kwa upande wa Mbao ina kazi kubwa leo ya kuwakabili washambuliaji wa Mbeya City wakiongozwa na Mapunda huku safu ya ulinzi ikionekana kupitika kirahisi. Katika michezo mitano iliyopita ya hivi karibuni safu ya ulinzi ya Mbao imeruhusu mabao tisa jambo ambao linaweza kuwaweka katika wakati mgumu kama mabeki hawatacheza kwa nidhamu.

Timu hiyo katika mechi tano imefunga mabao manne hivyo kuonyesha licha ya kwamba inapitika kirahisi katika eneo la ulinzi pia haina safu nzuri ya ushambuliaji. Kocha wa Mbao, Abdulmutic Haji alisema ratiba ni kikwazo kwao kwa kuwa wanakosa muda wa kufanya maandalizi ya kutosha.

Alisema ugumu wa ratiba hiyo hautoi nafasi ya kujiandaa kutoka mechi moja hadi nyingine ingawa mchezo wa leo amesema pointi tatu ni muhimu. Mwanzo Michezo. Pia Soma.Kocha Simba hana tatizo lolote na hata akiletwa kocha wowote kwa sasa pale Simba wasidhani mambo yatakuwa rahisi hivyo. Kwani inajulikana wazi kuwa kocha huyu anahujumiwa ili aonekane hafai.

Kuna baadhi achezaji wakishirikiana na baadhi ya viongozi wanashirikiana kumuhujumu kocha ili aonekane hafai ila hizo ni zambi zitakuja kuwatesa Simba. Manchester United,Arsenal na Chelsea wanateseka hadi leo. Matatizo ya viongozi kushindwa kufanya usajili wa maana katika maeneo husika yanayowatesa Simba kwa muda mrefu,matekeo yake zigo anaangushiwa kocha.

Kocha huyu huyu wa Simba anaeonekana m'bovu kama atakabidhiwa Namungo kwa vijana wale jinsi wanavyojituma na Simba waendelee na wachezaji wao hao waliolewa pesa na kujiona mabosi basi nakuhakikishia namungo watamalizia pazuri mwisho wa ligi kuliko Simba hii.

Kwanza kabisa kuna uwezekano mkubwa kabisa Patrick Ausems na genge lake wana mkono wao kwa asilimia kubwa kuhahakisha kuwa kocha huyu anafeli. Ila Simba wahakikishe wanamlipa huyu kocha stahiki zake pindi wakiamua kuachana nae isiwe mambo ya kupelekana FIFA.

Kocha anaambiwa mbaya wakati timu inaongoza ligi kwa point Kama simba watabadili tena ina maana viongozi wa simba wanafanya mambo ya kubahatisha.

TAZAMA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA 2019/2020, SIMBA WAKO KILELENI,YANGA WAKO MKIANI.

Kibinafsi kocha anajua anachofanya na unaona kabisa anajiamini akisuka kikosi imara ambacho hakuna mchezaji atakayejiona bora kuliko wengine. Na hii inahimarisha nidhamu ya timu. Hao mashabiki wa Simba wanaoamadamana kuhusu kocha wao, wanatumika bila ya wao wenyewe kujijua na kuisaliti timu yao kwa faida ya watu fulani. Wao wenyewe hawashangai wanaandamana kuwasaidia wapenzi wa wanga kuizodoa timu yao lakini hakuna hata kiongozi mmoja anaekemea.

Hata Manara kakaa kimya ujue kuwa kunazengwe hapo kocha kajengewa. Wachezaji wa Simba hawamtaki kocha kwa sababu ni wavivu wa mazoezi. Jamaa yupo serious. Yanga kinachowasaidia sio Mzungu ni Mkwasa kwani anajua soka la Bongo ni mazoezi ufundi wa kuchapia. Kocha huyu akiondoka hao wanaoandamana watakuja kujuta. Kocha akiondoka Simba hivi sasa hana cha kupoteza kwani muda mfupi tayari ameshajitengenezea C. V na watakaopoteza ni Simba sio yeye. Kinachotizamwa tangu aje Simba ameshinda mechi ngapi?

Amepoteza ngapi? Akiondoka ana uwezo wa kuomba kazi au pengine hivi sasa tayari kuna timu zinamuhitaji tayari. Kocha wa dizaini yake anahitaji muda ili kufaidi matunda yake. Kama ningekuwa viongozi wa simba ningemuacha kocha mpaka mwisho wa msimu na timu ikishindwa kuchukua ubingwa fukuza wachezaji karibu wote na kutafuta vijana wengine wapya makini kabisa wa kazi ambao kwa kiasi kikubwa liwe chaguo la kocha mwenyewe.

Na ni vizuri hata kuwaataarifu wachezaji kwamba e bwana e kocha haondoki ila msimu ukishia vibaya tutaifumua timu nzima kuunda kikosi kipya. Kwa sababu hii tabia ya wachezaji kumuhujumu kocha ni tabia ya hatari sana kwa afya ya timu. Isitoshe kila kwenye mechi ya simba,Yanga wanamaliza kufuru zote kuhakikisha Simba inadondosha points,kuanzia kuipa sapoti ya siri na dhahiri timu pinzani inayocheza na Simba kihali na mali hadi kusaidia ushirikina, utaona hata police walipita mlango wa nyuma walipoingia kucheza na Simba.

Takwimu muhimu za Yanga na Simba.

Ile sio akili ya kipolice kuamini ushirikina bali walishikwa sikio na mtani. Ila kila Yanga wanapojaribu kuzicheza mechi za Simba wanashangaa kwsni kimauzauza tu Simba anakuja kuibuka na ushindi kitu hicho Yanga kimewakera sana hadi kuonesha chuki za wazi kabisa ila mpira wa bongo hata waamuzi nao hupigwa kafara wakazibwa na macho wakapumbazika,wee acha tu. Uchawi huu wa kuizuia Simba tuuhamishie Taifa stars tufuzu world cup tatatataa!OKTOBA 18 uwanja wa taifa Dar es Salaam kutawaka moto wakati miamba ya soka Tanzania klabu za Yanga na Simba zitakapomenyana kuwania pointi tatu muhimu ikiwa ni mara ya kwanza timu hizo kukutana tangu kuanza kwa msimu huu.

Timu hizo mbili zimekuwa na upinzani mkubwa tangu zilipoanzishwa miaka ya na ,kitu ambacho kimechangia kuwepo uhasama mkubwa na kusababisha kugawana bara bara.

Takwimu kuanzia timu hizo zilipoanza kukutana zinaonyesha Yanga ndiyo kinara kwa kupata ushindi mara nyingi zaidi ya Simba ambayo inafuatia kwa mbali. Takwimu kama hizo kwenye upande wa kunyakua ubingwa wa Tanzania bara pia zinaibeba Yanga kwa kuchukua ubingwa huo mara 24 wakati Simba ikifanya hivyo mara 18 na kufuatiwa na klabu za Mtibwa Sugar na Coastal Union ya Tanga.

Rekodi nzuri kwa Simba katika mapambano yake na Yanga ni kupata ushindi wa mabao mengi kama ilivyofanya mwaka iliweza kuifunga Yanga mabao na Mei 6 mwaka iliipa tena kipigo cha aibu cha mabao ,uwanja wa taifa Dar es Salaam.

Simba imekuwa makini kwa kutumia vizuri madhaifu yawapinzani wao inapo wakuta wamechoka na kufunga mabao mengi yanayowapa rekodi nzuri kwenye historia za timu hizo. Takwimu za Goal za miaka mitano iliyopita kuanzia zinaonyesha Simba na Yanga zimekutana mara 11 ikiwa ni mechi maalumu pamoja na zile za Ligi Kuu ya Tanzania bara.

Wafungaji wa Yanga katika mechi hiyo walikuwa ni Mrisho Ngasa aliyefunga bao la kwanza dakika ya 14 na Mganda Hamisi Kiiza aliyefunga mara mbili dakika ya 35, Ushindi pekee iliyowahi kuupata Simba inapocheza na Yanga ndani ya miaka mitano iliyopita ilikuwa ni Oktoba 31 ambapo iliweza kuifunga Yanga bao mfungaji akiwa Mussa Hassani Mgosi dakika ya Katika takwimu hizi zilizowekwa na Mtandao wa Goal kila timu inacho cha kujivunia katika pambano hilo la Jumamosi Simba imekuwa na kipindi kizuri katika miaka mitano iliyopita wakati Yanga ikifurahi kukutana na Simba mwezi Oktoba kwa sababu imekuwa na bahati nao.

Lakini wakato Goal inakuwekea rekodi hizo timu husika kwa sasa zipo katika maandalizi kabambe kujiandaa na pambano hilo ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka. Yanga ambao ndiyo wenyeji wa pambano hilo licha ya kufurahia kucheza mwezi Oktoba lakini wanajivunia matokeo yao ya ushindi katika mechi mbili zilizopita dhidi ya JKT Ruvu na Tanzania Prisons ambayo yamewaweka nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi.

Simba iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini bado mambo siyo shwari kwani haijaonja ladha ya ushindi katika mechi tatu ilizo cheza ligi ya msimu huu. Kocha wake Patrick Phiri,amesea anauchukulia mchezo huo kama fainali lengo lake likiwa ni kupata ushindi ili kurudisha matumaini ya kunyakua ubingwa. Pia timu hiyo mbali na kupata sare hizo tatu lakini haijaonyesha kiwango cha juu kiasi cha kuwaridhisha mashabiki wake ambao wanafika wachache uwanjani lakini katika mechi ya Jumamosi chochote kinaweza kutokea.

Tusubiri kipyenga cha Mwamuzi Israel Nkongo ambaye ndiye aliyepewa jukumu la kuchezesha pambano hilo takika zake 90 zitamalizika kwa timu gani ikiwa na furaha.

By Zuberi Karim Jumaa.

Ligi Kuu Bara 2019/2020 scores, live results, standings

Katika idadi hiyo Simba inaongoza kwa kushinda mara nne na Yanga ikipata ushindi mara tatu na mara nne zikienda sare lakini kizuri kwa Yanga ni kuwa na bahati kushinda Oktoba.Huo ni mkakati mzigo wa Simba kuhakikisha wanatwaa kombe hilo mapema na kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa kuanzia Agosti, mwaka huu. Simba imepania kurudi kwa nguvu kwenye michuano ya kimataifa ili kurejesha heshima yake baada ya msimu uliopita kutolewa mapema tena kwenye ardhi ya nyumbani.

Simba wamebakiwa na michezo kumi, kati ya hiyo kama wataweza kushinda mitano watatangaza ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo huku wakiwa wamebakiwa na michezo mitano mkononi mwao tofauti na misimu miwili nyuma walipochukua taji hilo.

Hesabu zinaonyesha Simba kwa sasa wapo nafasi ya kwanza wakiwa wamecheza michezo 28, wakivuna pointi 71, kwa maana hiyo wakishinda mechi tano kati ya kumi watakuwa wamevuna pointi 15 ambazo ukijumlisha na walizonazo sasa watafikisha pointi 86, ambazo zitafikiwa na timu moja tu.

Timu ambayo inaweza kufikia pointi 86 ni Yanga ambao kwa sasa wapo nafasi ya tatu wakiwa wamecheza michezo 26, wakiwa na pointi 50, wakibakiwa na mechi 12 ambazo kama itashinda zote itakuwa na pointi 36, ukijumlisha na walizonazo sasa. Yanga watafikia pointi 86 wakiwa wamemaliza michezo yao yote, lakini Simba wakati huo watakuwa na michezo mitano mkononi ambayo hata kama wakipoteza yote watakuwa pointi sawa na watani zao, ila watatwaa ubingwa kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa kama ambavyo walifanya Yanga msimu wawalipomaliza pointi sawa na watani zao.

Azam ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wakiwa wamecheza michezo sawa na Simba wamefikisha pointi 54, wakibakiwa na mechi kumi ambazo kama watashinda zote watafikisha pointi 84, ambazo zitakuwa zimepitwa.

Ripoti na matokeo ya mechi za Simba vs Kagera – Mbeya City vs Ashanti

Rekodi zinaonyesha mzunguko wa kwanza Ruvu Shooting walifungwa mabaowakati Mwadui walishinda baoMbeya City wao walifungwa kama ilivyokuwa kwa Ndanda waliofungwa mabao na kuendeleza rekodi ya kutoifunga Simba tangu walipopanda ligi wakati Prisons walitoka suluhu na vinara hao. Ukiachana na mechi hizo nyingine tano ambazo Simba wamebakiza ili kufikisha michezo kumi ni dhidi ya Namungo, Coastal Union na Polisi Tanzania zote watakuwa ugenini huku dhidi ya Mbao na Alliance watachezea Dar es Salaam.

Mwanzo Michezo. Pia Soma.Mwanzo Kuhusu Mawasiliano Ramani ya Tovuti. Friday, April 10, Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mghana Bernard Morrison akia amejipumzisha sebuleni kwake baada ya mazoezi ya viungo katika kipindi hiki Share to Twitter Share to Facebook.

Ligi Kuu Bara 2019/2020 Latest Results, Ligi Kuu Bara 2019/2020 Current Season's Scores

Thursday, April 09, Wednesday, April 08, Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam, Ibrahim Ajibu Migomba akikabidhi misaada katika kituo cha watoto yatima cha Umra Tuesday, April 07, Monday, April 06, Saturday, April 04, Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta, akifurahia nje ya nyumbani kwake, mitaa ya Aston, Jijini Birmingham anakocheze Friday, April 03, Thursday, April 02, Wednesday, April 01, Subscribe to: Posts Atom.

Popular Archive Category. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ya viungo nyumbani kwake mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Ki Bleacher Report - Front Page. Sport Mail Online. Coronavirus: West Ham stars agree to 'defer percentage of their salaries' during shutdown - The Hammers are keen to ensure staff receive ' per cent of their salaries' while the game is suspended, with Mark Noble saying the entire squad wanted t BBC Sport - Sport. Coronavirus: West Ham players to make wage deferrals - West Ham become the second Premier League club to announce their players will defer part of their wages amid the coronavirus pandemic.

Asante Kotoko have beenKatika mchezo wa leo mabao ya Tanzania Prisons yamefungwa na Eliuter Mpepo kwa penalti dakika ya 58 baada ya kiungo Mzimbabwe, ThabaniKamusoko kuushika mpira kwenye boksi na Salum Bosco aliyefunga la pili dakika ya 85 akitumia udhaifu wa mabeki wa Yanga.

Kama Yanga ikifanikiwa kushinda michezo yote hiyo mitano itakuwa imechukua alama 15alama ambazo ukiziongeza na alama 48 anakuwa na alama 63 ambapo itakuwa pungufu ya alama mbili za Simba ambayo ina alama 65 mpaka sasa ikiwa imecheza michezo Azam Fc inayoshika nafasi ya 2 na alama 49 haina uwezo pia ya kuzifikia alama za Simba kwa sababu wamebakiza michezo mitatu, ambapo wakishinda michezo hiyo mitatu watapata alama tisa ambazo ukiziongeza kwenye alama walizo nazo wanakuwa na alama Kwa hiyo Simba imekuwa bingwa rasmi wa ligi kuu Tanzania bara wakiwa wanasubiri wakisubiri mechi ya Singida United.

Mechi hii itakuwa ya kumamilisha ratiba tu na kulinda heshima kwa sababu Simba inataka kumaliza ligi ikiwa haijapoteza hata mchezo mmoja. Yanga inauachia ubingwa wa Ligi Kuu baada ya kukaa nao kwa misimu mitatu mfululizio wakati, Simba SC inatwaa taji la kwanza la ligi hiyo tangu mwaka walipochukua kwa mara ya mwisho.

Bongosoka imeungana na kampuni maarufu ya kubet ya 1XBetJiunge Hapa. Tufuate instagramfacebook na twitter. Pia kutangaza nasi tutumie emailbongosoka gmail. Soma Habari zaidi kuhusu: ligi kuu tanzania bara Simba. Yanga imebakiza michezo mitano 5 mpaka sasa hivi ikiwa na alama 48 katika nafasi ya tatu.Mimi ni Yanga lakini nakubaliana na hoja ya Saleh Jembe tusihamishe magoli kwa kisingizio kwamba Simba inabebwa.

Simba haibebwi.

simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Mrefa wanafanya makosa kwenye mechi nyingi. Lakini umeandika kana kwamba ni maoni ya wengi wakati ni maoni yako yanayowakilisha vile wewe binafsi unavyoona na wala sio Blogu nzima ya waandishi wa salehjembe. Kocha mkuu Yanga imekuwa kawaida yake kupost twiter. Tatizo inafanya waamuzi wanaanza kukataa penalti halali na magoli halali na Yanga ambao wanfunga moja au mbili kila mechi ndiyo wataathirika zaidi. Je tukifuta hayo aliyopendelewa Simba kuna uwezekano Yanga au Azam wakaizidi Simba mabao au points.

simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Nani asiyekujua kama wewe Saleh Jembe ni Simba,maelezo yako yote ni kuitetea Simba,lakini nataka nikuambie kupendelewa Simba na marefa c kupewa maholi yasiyo ya haki tu,kuna mambo mengi uwanjani yanatendeka kuiuwa timu inayocheza na Simba,mpira unachezwa uwanjani na sikuhizi hata km hutoenda uwanjani basi kwenye runinga utaona,Wewe Simba endelea na usimba wako,lakini usitake kutuziba midomo kusema Simba inabebwa.

Saleh jembe kwanza Happy Birthday. Niliona nakala yako iliyoamabatinishwa na picha yako binafsi kuwajuza wasomaji wako juu ya uzaliwo wa Saleh jembe lakini cha kushangaza sikuona hata comment moja ya kukutakia kheri isipokuwa lawama tu, naamini licha ya mapungufu machache ya kibinadamu katika utendaji wa kazi zako lakini kiukweli kabisa unastahili pongezi sana kwa kuilea hii blog kusimama hadi leo naweza kusema Saleh jembe ni moja kati blog chache halisi ya michezo iliyosalia hewani nchini hongera sana.

Wako wapi akina shafii Dauda na wengine wengi. Ukiangalia watanzania kula kukicha tumekuwa watu wa kukosa shukrani na ni jambo la hatari sana. Na tukitoka kidogo kwenye michezo wacha tupapase kidogo kwenye siasa na ni kuhusu mwanamichezo mwenzetu Ndugu Paul Makonda.

Tumeona baadhi ya watu,Magazeti,waandishi wa habari na wanasiasa wa kitanzania wakifurahia habari za yeye kupigwa Marufuku kuingia Marekani? Kwanza Makonda hana shida ya kwenda Marekani ila lengo kuu hapa ni kuichafua Tanzania na serikali ya Magufuli ila haya Mambo yalishatabiriwa kutokea juu ya Magufuli na harakati zake za kuimilikisha Tanzania wataanzia wanyonge.

Lakini huyu Makonda ndie aliejitoa Muhanga kupambana na Madawa ya kulevya,Makonda huyu ndie alielituliza jiji la Daresalam kutoka kwenye matukio ya kijambaazi ya kutisha ya mara kwa mara,Makonda huyu ndie aliewaunganisha watanzania wa madhehebu mbali mbali ya kidini na kuwa kitu kimoja,Makonda huyu ndie anaesimamia vipaji vya sanaa na michezo kwa vijana wa kitanzania moja kwa moja kutoka kwake yeye mwenyewe binafsi,Makonda huyu ndie anaepigana kuhakikisha hali za kinamama wanyonge zinapatikana,Makonda huyu ndie anaepigana kuhakikisha haki za watoto wazururaji mjini zinalindwa,Makonda huyu ndie kiranja mkuu anaesimamia kulipaisha jiji la Daresalam kuwa la kisasa zaidi Africa na mambo mengine mengi mazuri si rahisi kuyataja yote hapa anayofanya Makonda.

Lakini inatokea nchi ya kigeni bila ya kufuata sheria za kimataifa kwa kutumia ubabe wake tu inatumia nguvu zake binafsi inajaribu kuiaminisha Dunia kuwa huyu ni mtu Mb'aya,hafai na sisi watanzania tunashangiria mikundu wazi juu kabisa hewani?

simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Kwa kweli watanzania tujitafakari. Mabebebru hawa waliidanganya Dunia na kuwalaghai Walibya kuwa Ghadafi ndie anaeizuia Libya kupaa kimataifa na kwa kutumia walibya wachache wenye uchu wa madaraka wakaruhusu Gadafi kuuwawa na leo hii Libya iliyokuwa na huduma bora za kijamii kuliko Marekani imekuwa nchi ya kunuka mizoga ya binaadamu kila kona ya nchi yao.

Kwa kweli watanzania tujifunze kuwa na shukrani kwa neema ile Mungu aliotujaalia kwani Mungu ametuhimiza hivyo na tusipofanya hivyo Ghadhabu zake huwa ni kali Mno. Kwa kifupi tu kamwe Marekani hawawezi kuwa na bifu na raia wa nchi husika kwa ajili ya Maslahi ya nchi husika siku zote inakuwa kwa ajili ya Maslahi ya nchi yao ni hii ndio Sera ya Marekani.

Hata kama kutakuwa na watanzania wamejipelekesha kutumika kumsaliti Makonda na Tanzania ukweli utabaki pale pale Marekani huangalia maslahi ya nchi yao kwanza.


thoughts on “Simba wamebakiza mechi ngapi ligi kuu 2020

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *